Huyu baba ni muhuni sana please help!

Huyu baba ni muhuni sana please help!

Kwanza pole sana kwa yanayo kupitia ni maisha ila kinachotakiwa ni nyie kuwa strong kwa ajili ya mama yenu na kupata afya ya kisaikolojia. Je mama ni mfanyakazi au mama wa nyumbani? je wewe ni mwanafunzi? Naomba ufanye jambo moja tumia hasira na aibu uliyonayo juu ya matendo ya baba yako kama chachu ya kujitafutia maisha tofauti. kama ni mwanafunzi soma kwa bidii kama ni mfanyakazi jitenge na makundi bali elekeza nguvu zako kujijenga kimaisha. jiendeleze. kwa upande wa mama yako atafute likizo fupi ya kujipumzisha ili ajipange upya. akirudi aishi kama hamuoni baba yako wala asiyafikirie matendo yake. hakuna kitu kinachoweza kumsumbua akili mtu kama mwenza asiyekujali wala hana habari na wewe. atumie muda wake kuwatazama watoto wake mambo mengine yawe secondary. Primary goal yake ni kuwa na furaha na afya. Baba yako ni mtu mzima. lutumia muda mwingi mkiwazia anayofanya ni kumpa nafasi ya kuharibu maisha yenu. msisahau kumweka Mungu ktk maombi yenu ya kila siku. Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
 
Niliwahi kumkuta anamchezea makalio mtoto wa kike aliyemaliza darasa la saba, mbele ya kibaraza chetu. Yani ni mtoto mdogo sana alikuwa. Niliumia sana moyo, ikabidi niende kanisani nikapate faraja ya moyoni!

tena nakusihi sana uwe na hekima sana katika jambo hili. ukiwa mtetezi wa mama sana utaleta balaa jingine kubwa sana. anaweza kuanza tifu na mama hadi la kumtimua home. najua unapopita mkuu ni pagumu sana ila kuwa jasiri utashinda tu.
 
huyo mzee yaeleke aliruka steji ila huenda pia hiyo ni hulka yake toka yuko kijana...kumchunia hakusaidii, waiteni wazee wenzie wamkalishe chini wamweleze athari zinazoletwa na tabia yake hiyo..huenda akawasikiliza na kubadilika!!!

Hakuna cha kuruka steji wala nini,ni hao mabinti ndo wanampaparikia mzee kwa kuwa ana mkwanja na inaonekana kuhonga kwake sio inshu kwani imekuwa ni desturi ya mabinti wengi kupenda kudate na wazee coz wanaprovide yaan n wazamini wazuri pia hawachoshi kunako 6x6!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ngoja nikupe mfano mmoja.
mm huwa nasemaga hivi, siku nazaliwa sikuwa najua kwamba natoka kwenye tumbo la mama wala la baba, na sikujua kama kuna baba ama mama, dada wala kaka. ila maisha yalinichagulia haya tena pasi kupenda manake ningekuwa na choice basi ningechagua wale ambao mm binafsi ningependezwa nao.

lakin sasa unazaliwa nature inakupa yote pasi na choice. sasa unafanyeje?? basi sina budi kuyapokea yote. nilipokaa na kugundua kwamba wale ndugu ambao niliwaona ni wazuri sana labda ningewachagua wao tu wengine ningeaacha nikajikuta kwamba nao pia sio malaika wana uzuri na ubaya wao na hata wale ambao niliwaoana wabaya naoa pa wana uzuri wao na wao ndio waliokuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu kuliko wale nilio wapenda.

hapo ndipo nilipo conclude kwamba no matter mtu ni mbaya kimatendo namna gani bado ana mchango mkubwa sana kwang. na makosa ya mtu huyo hayabadilish ukweli kwamba hajawah ama hatakaa aje kunisaidia. hivyo basi kosa la baba yako lisikufanye ukambadilisha kwa kitu ama mtu mwingine. alipaoteza siku yako kukuzaa imetosha sana manake ndiye aliyekufanya ukaliona jua. asinge donate sperm yake usingalikuwepo hivyo makosa yake hayawez kubadilisha hili.

take your time fanya kazi zako mtie mama moyo kwa nidham njema na maombi.

Asante sana kwa mara nyingine tena!
 
Pole sana; kwanini usiongee naye? Wewe ni mwanaume, mweleze kwa heshima ni mara mia awe anawapeleka mbali zaidi. Mzee wako anasumbuliwa na mid-life crisis huyo.

Kama ni muelewa ukimwambia jinsi gani unaathirika kwa matendo yako anaweza punguza.

Midlife crisis na 57! Si wa kustaafu huyu akae kijijini!
Huyu wa kumuitia wazee, kama mna babu na mashangazi waiteni kikao. Kama mama anaweza kujisimamia na kujitegemea mi naona na divorce inahusika hapa. Maisha gani hayo sasa, watauana na presha buree, wakati wewe karibia mahela yanaanza kukuotea uanze kumpa raha mamako!
 
Kwanza pole sana kwa yanayo kupitia ni maisha ila kinachotakiwa ni nyie kuwa strong kwa ajili ya mama yenu na kupata afya ya kisaikolojia. Je mama ni mfanyakazi au mama wa nyumbani? je wewe ni mwanafunzi? Naomba ufanye jambo moja tumia hasira na aibu uliyonayo juu ya matendo ya baba yako kama chachu ya kujitafutia maisha tofauti. kama ni mwanafunzi soma kwa bidii kama ni mfanyakazi jitenge na makundi bali elekeza nguvu zako kujijenga kimaisha. jiendeleze. kwa upande wa mama yako atafute likizo fupi ya kujipumzisha ili ajipange upya. akirudi aishi kama hamuoni baba yako wala asiyafikirie matendo yake. hakuna kitu kinachoweza kumsumbua akili mtu kama mwenza asiyekujali wala hana habari na wewe. atumie muda wake kuwatazama watoto wake mambo mengine yawe secondary. Primary goal yake ni kuwa na furaha na afya. Baba yako ni mtu mzima. lutumia muda mwingi mkiwazia anayofanya ni kumpa nafasi ya kuharibu maisha yenu. msisahau kumweka Mungu ktk maombi yenu ya kila siku. Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.

Asante sana Bi mkubwa. Mimi ni graduate lakini nahangaika kutafuta ajira na mama yangu ni mfanyakazi wa serikalini!
 
Mimi niliwahi kuwaza kama ningemnyatia mpaka anapoenda na hao mabinti wa under 18, then niwaite polisi wamletee noma, lakini roho wa bwana nadhani akanizuia nikarudi kwenye normal mood!
 
tena nakusihi sana uwe na hekima sana katika jambo hili. ukiwa mtetezi wa mama sana utaleta balaa jingine kubwa sana. anaweza kuanza tifu na mama hadi la kumtimua home. najua unapopita mkuu ni pagumu sana ila kuwa jasiri utashinda tu.

ASANTE AGAIN NDUGU Gfsonwin!
 
Pole sana, hata mimi ningekuwa wewe ningeumia kama wewe au hata zaidi. Ila unaonaje ukiongea na padri/ mchungaji ili ajue jinsi kumsaidia huenda si yeye bali ni pepo linamwandama.
 
Pole sana, hata mimi ningekuwa wewe ningeumia kama wewe au hata zaidi. Ila unaonaje ukiongea na padri/ mchungaji ili ajue jinsi kumsaidia huenda si yeye bali ni pepo linamwandama.

Huyu hata njia ya kanisani haijui. Asante kwa ushauri wako mkuu! Ndio maana nikaamua kuvunja hata mawasiliano naye, hakuna salama wala shikamo baba tena, kwa maana yeye ni muhuni na sio role model wangu!
 
pole sana ndg. Hivi ni kwanini mibaba mizima na mivuzi viunoni haijiheshimu? Nadhani tafuta mood ya kumweleza live bila chenga. Ikiwezekana itisheni meeting ya familia wale watoto wakubwa na mama then mumkalishe chini muelezeni. akirudia tena kamateni fimbo charaza yeye atakoma. Mimi mzee wangu alikua anatabia hizo na mbaya zaidi kugombana kusikoisha nyumbani na kumpiga mama, siku moja tukamkalisha kikao na kumwambia, aliacha but akawa anarudia then ilibidi tumkunje mi na ndugu yangu na hajawahi rudia hizo mambo kabisaaaaaaaaaaa! Pole sana lakini sure tabia hizi zinatia kinyaa!!!!
 
Asante kwa ushauri wako, ila pole kwa kuwa ulipitia mabaya kama hayo ninayopitia mimi. Mimi ndio mwanaume mkubwa kwetu na wanaume tupo wawili tu!
 
Umejipangaje na wewe usijekuwa kuwa kama baba yako..?Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka..Pole
 
Pole sana ila naomba kuuliza swal la kizushi kwa age yake ya 57 hao wanaomdate wanavutiwa na nini haswaa? Ni cashmoney or wat?

Halaf kuna mzee ananitongoza hapa mtaani wa umri huo cjui ndo atakuwa huyo mshua wako???

Ila mwambie aache hyo tabia atajamfia mtu kifuani huko guest kwa presure ohooo
 
dont be so mean, the man probably is having his last erection, so what? let him dick around a bit before he die, it is in men's genes,..we're hunters, lets spray our lollipop

do u have a father!!?
 
Wewe ni he au she
Kama ni he jua hayo ni mambo ya kawaida
Au maybe unajaribunkuficha kitu
Maybe idn yako unaificha ila wewe ni mwanamke unaumia kuona baba yako anafanya huo uchafu
Au wewe mwanaume na huyo baba yako sio baba yako ila ni mama yako ndio anafanya huo uchafu
Kwani hapo ndipo naweza pata reason ya wewe mpaka kufikia kulia

Anyway shukuru mungu kwani kuna wengine mama zao wanapigwa mashine na watoto wadogo na 0712 kabisa wa rika la watoto zao

awe baba au mama zote ni laana na aibu nashangaa unadiliki kumwambia ashukuru Mungu c mama ake khaaa!!do u know wat is dignity!?
 
Niliwahi kumkuta anamchezea makalio mtoto wa kike aliyemaliza darasa la saba, mbele ya kibaraza chetu. Yani ni mtoto mdogo sana alikuwa. Niliumia sana moyo, ikabidi niende kanisani nikapate faraja ya moyoni!

pole sana ndugu kwa mim mwenye wazaz walio kwenye ndoa nashindwa hata kujaribu viatu vyako,vya mama zako ndo kabisa havitanitosha! Uzid kumuomba Mungu na ukipata kazi ondoka hapo nyumban sabab hayo unayoyaona yanaumaliza utu wako usije ishia kushikana na baba bure!ni mapito na utapita ndugu!
 
awe baba au mama zote ni laana na aibu nashangaa unadiliki kumwambia ashukuru Mungu c mama ake khaaa!!do u know wat is dignity!?

Umasikini ni umasikini tu ila umasikini wa mlo mmoja sio sawa na umasikini wa milo miwili....
Wake up
Na
Happy new year
 
Back
Top Bottom