nakushangaa sana kwa nn umejustfy kwamba huyu anayefanya haya ni mama yake?? je ina mana wababa ni watu decent sana kiasi kwamba hawawez kufanya haya?? acha sexual abuse. jibu kulingna na mada ilivyo.
Nimeongea naye ndugu kaunga, lakini ananiambia nimeanza kuchanganyikiwa kwa kuwa sina ajira!
Ningesadiki ningeuliza?
infantry soldier huwa hawalii kwa mambo madogo kama hayo. Kama vipi Mpotezee
pole sana kwa hali unayopitia. najua inauma sana hasa kwa mtu ambaye wewe ulimwamini kwamba awe modo kwako anapokuwa na tabia za kishenzi. si bure baba yako kaathiriwa na ""u-late blooming"" na hivyo kijikuta yuko kwenye mid life crisis.hakukua kwa kufuata njia zote za makuzi ali delay somewhere akaruka stage sasa anajirudia tena nyuma.
jambo la msingi la kufanya kwanza kabisa usiweke chuki nae, wla jeuri ila tu kaa kimya huku ukimtia mama yako moyo na kuwa na nidham njema kwa mama yako. jihimizen katika kusali na kufanya ibada ili Mungu akutane nae kwa wakati wake na hili ndilo jambo la mwisho unaloweza kufanya.
otherwise haya ni maisha yake na huwez kuingilia uhuru wake and he is your father. kama una gf wako mweke mbali asije akamuharibia siku basi.
Mkuu iko hivi sisi wanaume tunaumia kuona wamama wetu wakitoka nje ya ndoa kuliko wababa actually ndio mwanaume wa kwanza kuona analia eti kisa
Baba yake anayoka nje ya ndoa
Ila kwa wanawake kwa baba yao kutoka nje ya ndoa inawauma sana kuliko mama yao kutoka nje ya ndoa...
Nadhan kuna kesi kibao tunaziona mitaani za watoto wa kike kujua kidumu cha mama yao...
Ila msichana ni rahisi kulia kuona baba yake anamsaliti mama yake
Mkuu ndio maana nikatoa assumptions mbili hapo juu mkuu ili nijue nitamshauri vipi na ushauri wangu ulenge mada husika... maana anaweza kuomba msaada indirectly na hapo nikawa ninamsaidia bila kutatua tatizo bila kutatua tatizo lenyewe
Sija abuse sex yeyote.. maybe wewe umeelewa vibaya
unaezaona ni jambo dogo....
ingekuwa ndo wewe ungejua how big it is!!!!!!
Pole sana kijana hata mi huwa nakereka sana kuona mzazi anakuwa na uchafu huo, ukuzingatia anaishi na vijana wake wakubwa tu, ni aibu sana hawajui tu, pole!!!!
Asante sana ndugu gfsonwin, unanitia sana nguvu ya kuishi!
Niliwahi kumkuta anamchezea makalio mtoto wa kike aliyemaliza darasa la saba, mbele ya kibaraza chetu. Yani ni mtoto mdogo sana alikuwa. Niliumia sana moyo, ikabidi niende kanisani nikapate faraja ya moyoni!
Mungu akubariki kwa ushauri wako ndugu Evlyn Salt. Naumia sana ndugu yangu ingawa watu wanafanya jokes!
Mungu akubariki kwa ushauri wako ndugu Evlyn Salt. Naumia sana ndugu yangu ingawa watu wanafanya jokes!