Huyu atakuwa Genius hapo baadaye au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu atakuwa Genius hapo baadaye au?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtego wa Noti, Oct 6, 2011.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kuna utani kuwa waafrika wengi tukiwa tumelala usingizi, huwa tunaweka mikono yetu maeneo ya viungo vya uzazi wakati wenzetu wazungu huwa mikono inawekwa kichwani.

  Hii tabia ya kuweka mikono kwenye maungo ya uzazi imetafsiriwa na wengi kuwa muda mwingi sisi watu weusi/waafrika huwa tunafikiria ngono zaidi kuliko mambo ya kimsingi ya kimaendeleo.

  Sasa mimi nina mwanangu ana miezi minne, kila muda anaponyonya huwa anaweka mkono wake kichwani na hata anapolala mara nyingi mikono yake iko kichwani. Anakuwa kama vile anafikiria kitu fulani hivi ingawa bado ni mdogo sana ki-umri.

  Hivi hii si ndio ishara kuwa atakuwa genius? Nasema hivi kwa sababu na babu yake alikuwa ni thinking machine!

  Nawasilisha wanajamvi!
   
 2. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtego wa Noti,wewe ukilala mikono huwa una weka wapi?,ata hivyo sio kweli waafrika wakilala mikono huwa wanaweka kwenye sehemu za uzazi,unaweza kutuambia hiyo research uliifanyia wapi??au unataka kuleta story za vijiweni.......!
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hahahahahahaha.........swali lako zuri sana, mi mikono yangu maranyingine huwa kchwani na mara ingine maeneo ya vizazi....huo utafiti ushafanyika na wahenga!!!!!
   
 4. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,161
  Likes Received: 3,275
  Trophy Points: 280
  hongera kwa kuwa na mtoto genius.............akiwa bongo lala uje utupe taarifa tuthibitishe hiyo research yako
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  umekonclude kuwa atakuwa genius? thanks....hilo ndilo kila mzazi huwa anategemea...
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,038
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  na kama anasikia vitu vinatembea kichwani? babu zake waliokufa
   
 7. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  huo ni mtazamo wakidhanifu! achana nao unachopaswa katika maisha ni kufikiri mambo ya ulimwengu huu kiyakinifu! sawa sawa
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Mi naweka mikono miguuni je inamaanisha nini??
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,055
  Trophy Points: 280
  minaweka mikono kifuani
   
 10. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Atakuwa anapenda safari sana.Akiwa raisi wananchi wake watamlalamikia kwa kusafiri sana
   
Loading...