Huyu atakuwa bibi

Unaona alifanya makosa alivyokulea wewe?
Mi ndo naelewa mama yng ni mtu wa namna gani ndo Mana nasema hivyo.anaeza beba mjukuu wa miaka 6 mgongoni.........uko sikunifanyia mtoto zwazwa.by the way nmelelewa na mama,mabibi nimewafaham utu uzmani
 
ChizI?
 
Kwa bibi ni raha sana. Mimi nililelewa na bibi mzaa mama yangu kwa muda mfupi na tulielewana sana. Kiasi kwamba kama kuna kitu nyumbani ni lazima ni lazimishe bibi apelekewe, nikiona sipati basi ninatafuta namna ya kupata hata kidogo nimpelekee bibi yangu.
 
Hapo dogo sijui hata kama atakumbuka nyumban
Kwa bibi ni raha sana. Mimi nililelewa na bibi mzaa mama yangu kwa muda mfupi na tulielewana sana. Kiasi kwamba kama kuna kitu nyumbani ni lazima ni lazimishe bibi apelekewe, nikiona sipati basi ninatafuta namna ya kupata hata kidogo nimpelekee bibi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi bibi yangu alikua tofauti sana na bibi wengine sijui kwasababu alikua nesi bibi alikua anafinya sana yule daaah
 
Back
Top Bottom