Huyu atakuwa bibi


Marco Polo

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
2,827
Points
2,000
Marco Polo

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
2,827 2,000
Kwahiyo huo mchezo wanaoucheza hapo hauna madhara sio? Lazima utakuwa babu wewe.
Hufai kuwa mzazi mtoto anatakiwa acheze michezo 468 kwa siku ndiyo utajua kama ana afya njema.
Kamwe usimzuie mtoto kucheza ili mradi mchezo hauna madhara kama hapo kupanda ngazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gonzalo Miguel

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
456
Points
500
Gonzalo Miguel

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
456 500
Bi Mkubwa alkuw ananikata jcho fulani hivi ambalo linakuw na summary yote y kipgo anachokiandaa moyon
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,186
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,186 2,000
Huwezi jua wamepatikanaje,watoto Saiz adimu
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,140
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,140 2,000
Nakumbuka tulining'inia hivyo tukakata bawaba. Aisee tulipata taabu sana.
 

Forum statistics

Threads 1,285,932
Members 494,834
Posts 30,879,374
Top