Huyu askari kwa sasa anasota rupango

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,249
Reaction score
98,243
Kweli dunia ni uwanja wa fujo.

Ukiwa mbabe sana hapa duniani basi ipo siku utakutana na wababe wenzako na watakukalisha.

Nasikia huyu mwamba aliyemtolea Nape bunduki naye leo hii ananyea ndoa au kubebeshwa mtondoo pale ngome.

Wanadai alihusika na ukatili wa kudhulumu uhai wa mjasiliamali wa huko kusini wilayani Nachingwea.

Hakika dunia ni uwanja wa fujo na mwenye nguvu mwache apite.
Your browser is not able to display this video.
 
ILa magu aliwaingiza choo cha mashoga hawa watu..dah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…