Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Jf kiboko ,sasa group letu la wanaume wa viongonzi wanawake ni lipi ? Kama halipo basi lianzishwe na napendekeza kuitwa TANZANITE mbwai mbwai
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Ni Mke wa Ridhiwan Kikwete
 
Jf kiboko ,sasa group letu la wanaume wa viongonzi wanawake ni lipi ? Kama halipo basi lianzishwe na napendekeza kuitwa TANZANITE
Mulianzishe hilo group, mweka hazina awe mume wa waziri Gwajima
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
kikwete ni mwislamu, anaruhusiwa kuwa na wake wanne na si lazima awatangaze wote
 
Back
Top Bottom