Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu ni mke wa Ridhiwani,kaongea kwa niaba ya kikundi cha wake wa viongozi. Wake wa mawaziri na manaibu waziri wana chama chao kinaitwa Millenium group
Hiki chama ni useless. Waziri akitenguliwa kwa hiyo mke nae analeft group?
 
Anaendelea kuwepo,as far as anatoa michango.Pia si lazima kujiunga.Hiki chama kilianza kilianza na wamama wake wa mawaziri ndo walianzisha kina Mama Masilingi na Mama Lukuvi. Kipo tokea Mama Magufuli mme wake akiwa Naibu waziri.
 
Kwani Ridhiwani pia si nikiongizi Mkuu!!Au yeye Sio Kikwete?
Hata mimi nimeshangaa kuwa sehemu ya wenza wa viongozi wa nchi.Hii nchi ina vituko sana heshima aliyopewa Membe hailingani na ya hayati Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Kama wewe Kada mwenzao umeshindwa kujua Sisi tutajuaje?
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Kumbe mambo mengi tu hamjui ila kelele nyiiingi
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Nyie wake za viongozi kwani hamjuani Hadi uje humu JF?! Group ni lenu, nyie ndo members iweje tena uulize wengine?
 
Classmate huyo

Kuna kitu unataka kusema.
IMG_1707.jpg

Ya kale ya hayanuki masta.
 
Huyu ni mke wa Ridhiwani,kaongea kwa niaba ya kikundi cha wake wa viongozi. Wake wa mawaziri na manaibu waziri wana chama chao kinaitwa Millenium group
Na nyinyi Wake wa walala hoi,Chama chenu kinaitwaje!!??
 
Acha uboya mkuu mtu humble hawezi kuwa mwizi.
Ni matumizi mabaya ya neno humble/unyenyekevu badala yake huo ni unafiki
Mtu wanamuita humble halafu ana tuhuma lukuki za ufisadi. Humble ina maana gani kwani?😁
 
Back
Top Bottom