Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR

Mke wa Riziwani Kikwete
 
Waifu kasoma huu uzi akaniuliza kwani wewe ni mke wa kiongozi gani hadi ukawa kwenye hilo group...🤔
 
Huyu sindo kipindi flani aliwapeleka polisi wafanyakazi wake kwa wizi wa ipad na mashine ya kusagia juisi
 
Back
Top Bottom