Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu ni mke wa Ridhiwani,kaongea kwa niaba ya kikundi cha wake wa viongozi. Wake wa mawaziri na manaibu waziri wana chama chao kinaitwa Millenium group
Bila shaka na wee Ni MMOJA wa mke wa kigogo ccm


Una hbr nyingi Sana za ndani za ccm
 
Anatafuta SPOTLIGHT. ILI KESHO NA KESHO KUTWA MTONDOGOO




UTEUZI HUO , SI UNAJUA. UNDUGUNIZATION UMERUDI !!!!!
 
Hivi kwanini Rais akiwa Muislam viongozi wengi wanajitokeza wamevaa Baibui? Niliona hii wakati wa JK na sasa naiona.

Nimeona hadi Doroth Gwajima anafunga kilemba...Batilda yeye kaongeza ukubwa wa Kilemba. Kwa nini huwa inakuwa hivi? Huwa hii hali haionekana rais akiwa Mktistu

johnthebaptist
Ndege wafananao !
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Huyo ni mke wa rizwani ni wakili arafa
 
Dunia ipo kasi hatari. Eti umoja wa wake wa viongozi, sijui na wao wana Vicoba.
Na unaweza kuta wana mkopo mkubwa (kama sio zawadi) kutoka ile 10% ya halmashari na wala wasirudishe. Hii inapatikana Tanzania tu.
 
Back
Top Bottom