Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR

Embu rusha kapicha kama tulivyokubaliana mwaka huu, kwamba uzi bila kapicha ni sawa na chai bila sukari.
 
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?

Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?

Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?

Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?

Kwa anayejua hili atujuze

USSR
Hii mbona ni hoja dhaifu kwani kuna madhara gani akiwa kwenye hilo group?ukishajua itakusaidia nini?Taifa linawahitaji hili kwenye mambo ya msingi.
 
Hivi kwanini Rais akiwa Muislam viongozi wengi wanajitokeza wamevaa Baibui? Niliona hii wakati wa JK na sasa naiona.

Nimeona hadi Doroth Gwajima anafunga kilemba...Batilda yeye kaongeza ukubwa wa Kilemba. Kwa nini huwa inakuwa hivi? Huwa hii hali haionekana rais akiwa Mktistu

johnthebaptist
 
Kila zama na Kitabu chake 😄😄

Hata Mbowe alifuturisha!
 
Back
Top Bottom