Hahaha na juisi ya vitunguu swaumu? Ntakusemelezea
weeeeee!anangumi huyo atanitoa manunduSasa si umtaje
farkhina anatuwekea jinsi ya kupika pilau la spinach
Hahahahaha umejuaje? Hapo ndio naandika mahitaji mchele nusu lol...
87% anaweza kua Munkari enzi za ujana wake
Kumbe wewe ni mzuri hivyo??
Pilau la kuchanganya na kuku. Hhahaha
Yuko vizuri
Hapo yupo Pm anachati na mwekundu