Maombi mengine bwana...jamani mtatutia majaribuni huku
Huyu bila Shaka anamwomba Mungu ampatie mme mwema.maana inaonyesha Kama Yuko single.
Na alieipiga picha hii atakua anaomba nini?
atakuwa alisia kilicho mpata giLESi usingizini!!anajihami asiote anaingiliwa!!