Huyu ananitania au ananipima

Ningeomba kujua ulisha mpa chakula kile chakula bila kunawa?
Yaani ulisha mpa jamaa aka mega na kujiexpress jibu kwanza ndipo tuendelee.

Mkuu kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ulitangaza kuacha kujiexpress, he kulikoni tena wakuulizia?
 
Kaka hajatoa ticket bado nitakazania maombi na nitasimama na msimamo wangu wa mwanzo, maana malengo tulipanga sisi wawili iweje tena.

Hahaha! Hapo ndipo kina mama mnapojichanganyaga! Unataka tiketi gani zaidi ya hiyo aliyokwisha kupa? Kwenye mapenzi hakuna yellow card, Stuka!
 
Mi naona amekimbia baada ya kumnyima kuonja tunda
Kaka Fidel80 hayo yalikuwa sio malengo yetu, mnapoanza mahusiano lazima muwe na malengo kama angekuwa wa hit and run nisingeleta hapa jamvini.
 
Kaka hajatoa ticket bado nitakazania maombi na nitasimama na msimamo wangu wa mwanzo, maana malengo tulipanga sisi wawili iweje tena.
mlichokubaliana kililenga kuhakikisha MNAKUBALIANA!
unajua lily flower tuwe wakweli!.....umwambie mtu NO SEX BEFORE MARRIAGE,halafu akawa anatoka nje,na anapata sex kila siku NA HUTAJUA!......unaionaje hiyo?
 
Hicho ndicho kitu watu wanadanganyana. Eti tusimegane kabla ya kuoana kumbe kila mmoja anajirusha kivyake! Si heri ujifaidie vyako mapema kuliko kuwaachia watu wakumegee? Stukeni nyie watu!
 
waambie bwana mkubwa!
halafu......?
KWANIN MTU ASEME NO SEX BEFORE MARRIAGE?
 
Kweli itampunguzia speed, lakini mtu akikutokea ni kwamba he has seen something in you, kwanini asisubiri? kupata hiyo SEX ya mara moja moja na mtu asiyempenda (siusemei moyo) inamfaidisha nini?
 
Afu kibaya zaidi Eti NO SEX BEFORE MARRIAGE inaaplya kwa mtarajiwa tu wakati kwa mabaamedi na visista duu SEX kama kawa! Bwashee mshiki asikubanie, kula vitu. Watakusaidia watu. Mtu akishaonja ile kitu hawezi kaa zaidi ya miaka miwili bana, tusidanganyane!
 
Mkuu kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ulitangaza kuacha kujiexpress, he kulikoni tena wakuulizia?

Yeah nilisha staafu hapo nilikuwa naulizia tu ili nijiridhishe

Join Date: Mon Dec 2009
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Dah unakumbuku kumbu ulikuwa unaingia kama guest hongera kwa kujiunga JF
 
Hicho ndicho kitu watu wanadanganyana. Eti tusimegane kabla ya kuoana kumbe kila mmoja anajirusha kivyake! Si heri ujifaidie vyako mapema kuliko kuwaachia watu wakumegee? Stukeni nyie watu!
Kaka ukimpa alafu bado akuache si ndio balaa zaidi? hapo atasema you are to easy, shida iko kote kote, best thing nikukaa single.
 
Kweli itampunguzia speed, lakini mtu akikutokea ni kwamba he has seen something in you, kwanini asisubiri? kupata hiyo SEX ya mara moja moja na mtu asiyempenda (siusemei moyo) inamfaidisha nini?
we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe!

ngoja nikae kimya!...ungejua vile wanaume tunaishi!HAYA BWANA,endelea kujifariji
 
Afu kibaya zaidi Eti NO SEX BEFORE MARRIAGE inaaplya kwa mtarajiwa tu wakati kwa mabaamedi na visista duu SEX kama kawa! Bwashee mshiki asikubanie, kula vitu. Watakusaidia watu. Mtu akishaonja ile kitu hawezi kaa zaidi ya miaka miwili bana, tusidanganyane!
mkubwa,
uzuri mshiki ananielewa kuwa mimi ni mtu WA MATUKIO!nilimuadvice vizuri sana kwamba akitaka nitulie,atoe vitu!.........

nashukuru mungu nimetulia!
 
Yeah nilisha staafu hapo nilikuwa naulizia tu ili nijiridhishe

Dah unakumbuku kumbu ulikuwa unaingia kama guest hongera kwa kujiunga JF

Ahsante Mkuu na nimekaribia. Nilikuwa namisi mambo mengi sana kwa kuingiza kichwa tu. Ndo maana nimeamua kuingiza namwili wote hapa JF
 
Hivi nyie wa wapi nyie? hafu mnajiita wakristo? Enyi akina Yuda mbona nyie mnamsaliti Yesu?
".......Watu hawa wananiabudu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali nami....." ASEMA BWANA WA MAJESHI....
Na wazinifu wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa la moto......
Ole wenu,ole wenu,ole wenu.
 
Kaka ukimpa alafu bado akuache si ndio balaa zaidi? hapo atasema you are to easy, shida iko kote kote, best thing nikukaa single.

Hivi unafikiri katika ndoa zote ni asilimia ngapi walianza kumegana kabla ya kuoana? Mi nilimegana na wife miaka mitano kabla ya ndoa. Na ndoa yangu bado mukide! Stuka!
 
Ahsante Mkuu na nimekaribia. Nilikuwa namisi mambo mengi sana kwa kuingiza kichwa tu. Ndo maana nimeamua kuingiza namwili wote hapa JF
nakuondolea nuksi,NAKUGONGEA SENKSI YA KWANZA!hii ni historia kwako,kwa maana hakuna mtu mwingine atakaekugonga SENKSI YA KWANZA
 
Hivi nyie wa wapi nyie? hafu mnajiita wakristo? Enyi akina Yuda mbona nyie mnamsaliti Yesu?
".......Watu hawa wananiabudu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali nami....." ASEMA BWANA WA MAJESHI....
Na wazinifu wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa la moto......
Ole wenu,ole wenu,ole wenu.

Uzinifu?????!how?
najilia vyangu bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom