Huyu ananitania au ananipima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ananitania au ananipima

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lily Flower, Dec 29, 2009.

 1. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  keshakuchoka huyo!
  KARIBU KWANGU MPWA!mila zinaruhusu!...MILANGO IKO WAAAZI:D
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Hapo sasa!.......unanikumbusha thread nyingine kabisa!..lol

  enewei huyo atakuwa ANAKUTANIA/ANAKUPIMA
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Mpwa kabla sijachangia hebu edit kwanza hii...dah! :rolleyes:
   
 5. E

  Endaku's JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: May 25, 2007
  Messages: 322
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Just PM me my dear little flower , may be,it will be a good start for 2010 to us. please!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ni edit nini tena mppwaaz.labda uniambie nikaziedit MILA NA DESTURI ZA KIAFRIKA:)
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,044
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Mpwa bana! Acha nicheke kidogo! Heb niache nikompee hiyo red na blue nione kama kuna kinachoendelea hapo! Stuka Mpwa!!! Wanaume ndio zetu, tukikuchoka tunahamishia ratiba kwenye kuwa busy! Don wore sisy, kuna vijana serious kibao wamejaa! Du yu knoo woram seyying? Ushamwagwa dada! Stuka!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  wewe vipi,unaombwa ushauri unarusha kete!dah

  kweli ADUI MUOMBEE NJAA
   
 9. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mind you sijaambiwa ITS OVA YET, sinatatwangwa mangumi ni zirai.
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  duh..mdogo wangu Lily...hapo ina maana anakaa wapi hadi zipite wiki nne hamuonani?

  na je anafanya kazi gani hadi imkeep busy kiasi hicho?

  Hapo sie tunasema stuka...kama ulivostuka....kuna mwenzio mahali mahali,

  Je wewe mapenzi yako kwake yakoje manake majuzi hapoa alikuwepo dada yetu anadai yeye anataka tu kulipiwa bili zake na the so called BF!

  kama unaona vipi anakupotezea muda mwache wewe formally ijapokuwa atakuwa ameshakuacha informally just by his actions
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Lol!maneno mazito kwa mshiki
   
 12. M

  Mende dume Member

  #12
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  My treat is! wewe upo naye karibu kiasi gani. isije ikawa wewe unasubiri yeye awe karibu afu wewe upo palepale! kama ndivyo ujue yeye amekuwa hisia ya wewe kuwa na zero ukaribu for a long time(just thinking), remember an idle mind is a devils workshop. huo umbali unaweza create nafasi na kama upo Dar, mawinga kibao upenyo tu dakika washaosha kila kitu.

  if u love the guy, move closer, kama si riziki utajua and move on. afu hiyo gear ya ...if is over nambie ni move on... is so gross. unamkata mtu stim ya mapenzi, na for boys in attendance- labda uwe umefanya kosa kubwa sana ndo atkuambia go, vinginevyo anakupanga tu kwenye line yeye anaendelea wewe unamsubiri. Is bad but that is how it is.

  habari za asubuhi
   
 13. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  duh hii kali hata ticket sijpewa bado.
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sikiliza mama!
  hata kabla hujaambiwa IT'S OVER just come to me!itakusaidia kupunguza stress!.....:D
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  pole, ndio maisha hayo! ongea nae vizuri labda amechoka ugali-maharage kila siku! mpikie mchicha au majani ya kunde mara moja moja ati!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,044
  Trophy Points: 280
  Afu kabatani ka senksi hujakaona? LOL!
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  LF,..Thats where the troubles begin with these relationships...Urafiki ulio na mawasiliano mazuri kabisa unaweza kudumu hata kwa miaka 2, bila hata ku'do!..i just want to tell you that hiyo parameter ya ukaribu ni muhimu sana...Kama inaanza kukwama, all of a sudden, ujue kuna kidudu mtu anaingilia...Usimwogope huyo jamaa, mwambie in black and white kuwa unahisi ana mahusiano ya pembeni..na kama vp akuweke wazi!...,unless kama unalipiwa DSTV na fuel na rent ndo utaona soo kumpa live!...huh!
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nimekupa senksi mkuu!
  jaribu kumkonvisi mshiki aunge tela kwangu basi!maanake jamaa yake ndo hivyo keshayeya
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,044
  Trophy Points: 280
  Ngoja kwanza tumalize ya 13/04 then tunaanza kudumisha mila! Stuka ze Pillaaaaaaaz!
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ni kweli mkuu!
  lakini hiyo ya miaka miwili bila ku-do SIO WANAWAKE WA SASA!hawataelewa kwakweli
   
Loading...