Huyo mtoto kitakachofuatia yupo sakafuni.....

Huyo mtoto kitakachofuatia yupo sakafuni.....

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,713
funny-mama-papa-baby-sleeping-pictures-images-photos.jpg
So peaceful with mamma....
 
Nimeishia kucheka tu maana lazima daily aniwekee miguuu mgongoni ILA akigeukia kwa mama yake anakua na adabu kweli. Nikintoa mguu tu anashtuka na kuurudisha Hahahahaaaaa

Raha sana eeeh.....
 
Ngoja niweke ya :hug😛aw:hug: akiwa kalala. Nna mpango wa kumchongea kitanda chake kama jeneza ili asinipige mateke
 
Back
Top Bottom