Ninahitaji nikurushie 10,000 nipe namba hata ya wakala upate hela ya MBMpya si nimeshaweka link
Umeimaliza mana we si unasubiri ziishe
Juliana - Erick Shigongo me huwaga sinaga arosto ngoja nikuwekee link za story zangu zoteNimemaliza yotee .... Na ndo story yang ya pili kusoma huku jf bila arosto
Simulizi: Namtaka mpenzi wangu arudiNimemaliza yotee .... Na ndo story yang ya pili kusoma huku jf bila arosto
Sarafina - Mtunzi Nyemo ChilonganiNimemaliza yotee .... Na ndo story yang ya pili kusoma huku jf bila arosto
Penzi bila maumivuNimemaliza yotee .... Na ndo story yang ya pili kusoma huku jf bila arosto
Nilivyomliza mke wangu kwa siku 366Nimemaliza yotee .... Na ndo story yang ya pili kusoma huku jf bila arosto
Juliana - Erick Shigongo me huwaga sinaga arosto ngoja nikuwekee link za story zangu zote
SIMULIZI; Mkufu wa malkia wa GoshenNimemaliza yotee .... Na ndo story yang ya pili kusoma huku jf bila arosto
Dooh za kipelelezi sina