Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo

Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo

Stelingi hafi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila hapo tayari Sterling bibi nyanjige keshaExpire, bibi wa watu kaondoka na ngoma
Mwandishi kamlipa bi.nyanjige kwa ukatili wake ili storii iishe
sterling akifa na stori imeshakwisha [emoji28]
Cc. Bengazuu
 
khaaa jamani i didnt see it coming kwakweli...basi ngoja niiendeleze mimi...

Bibi Nyanjige alikata rufaa akashinda...adhabu ikabadilika...ikawa miaka 30☻...

Af kumbe ana mtoto mkubwa wa kiume..siku akamtembelea gerezani...

Bibi Nyanjige akampa maelekezo mwanae huyo kua atafte mnyama aitwae kitorondo[emoji23]...kisha amuue afu ampasue achukue tezi yake ya mate aikamue....

Mana ni dawa ya UKIMWI...af sku akija kumuona amletee...

Basi akaletewa akapona....akamaliza kifungo akatoka...akaunda jeshi lingine ndani ya msitu wa wahadzabe...

itaendelea....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom