Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo

Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo

Koncho naona mods hawataki nipost jukwaa la siasa yaan nikitoka huko lazima tu ban inihusu jamani
Nilikuwa mdau mzuri sana wa majukwaa hayo lakini nilitoka kule kwa sababu ya majitu yenye akili mgando za Lumumba
 
Sasa me sio watu wanaonisababishia ban nikipost tu kwenye thread nakula ban nilichogundua mods hawataki niende siasani
 
ahahah pole sana japo sijawahi kupata ban kuna siku moja kidogo nipate ban kwa sababu ya siasa
 
Back
Top Bottom