Huwa simrudii mwanamke wa hivi

Huwa simrudii mwanamke wa hivi

Sasa hapo kufulia kwenye ndoo ni uchafu upi mkuu, hapo kwenye kopo la kuogea angalau. Sababu kwanza kile kikopo ni kidogoo ila hapo kwenye ndoo mmmh!!!!
 
Hapa ikumbukwe kuwa kila kiumbe ana Tabia zake anazozipenda na kuzichukia.

Mie mwanamke mwenye tabia hii huwa tunaachana 10:00 asubuhi.

Tabia yenyewe ni hii ya mwanamke kufua chupi yake kwenye ndoo au kopo la kuogea, ama kwa hakika Nina uwezo Wa kuvumilia uchafu wowlte toka kwa mwanamke lakini sio uchafu huo.
Mapyaaa haya Yaani mpenzio ndo wamuonea kinyaa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo kufulia kwenye ndoo ni uchafu upi mkuu, hapo kwenye kopo la kuogea angalau. Sababu kwanza kile kikopo ni kidogoo ila hapo kwenye ndoo mmmh!!!!
Sakayo napingana na uliosema...sasa kichafu cha ajabu ni nini kwenye pichu..kama amuonea kinyaa mpenziwe ajitulize hata kujamiiana pia aone ni kinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa hili nalo neno bibie..si bora mziroweke kwenye mitungi ya maji ya kunywa

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Mh! si kuna kuwa na vyombo maalum kwa mfano ndoo au beseni za kufulia/kuogea na ndoo ya kuwekea maji ya kunywa ambayo kazi yake ni hiyo moja ya kuhifadhia maji ya kunywa.
Nyinyi ndiyo mnaokunywa Kilimanjaro water ham juu tulitokea kwenye maji ya mtungi, mna kunywa yakiisha ndiyo mnakutana na pichu ya aunty kumbe mwanae anaejifunza kutembea aliihifadhi mle.
 
Hapana SE maji ya chupa nakunywa lakini si mpenzi kihivyo. Nakunywa maji ya bomba lakini kwanza ni lazima niyachemshe yapoe halafu ndiyo yanafaa kunywa. Nimesahau siku nyingi kunywa maji moja kwa moja toka bombani. Pia napenda sana maji ya mtungini ni matamu sana unaweza kunywa glass chungu nzima kwa utamu wake.

Umenikumbusha mbali sana ilikuwa Xmas tulikwenda kwa bibi long time kitambo enzi hizo hakuna bottled water maji mna kunywa kwenye mtungi. Aunt alikuwa na mtt

Nyinyi ndiyo mnaokunywa Kilimanjaro water ham juu tulitokea kwenye maji ya mtungi, mna kunywa yakiisha ndiyo mnakutana na pichu ya aunty kumbe mwanae anaejifunza kutembea aliihifadhi mle.
 
akili chafu haijawahi kumuacha mtu salama,,, bora nngesema Mimi ambaye najinyima kula ili ale yeye ila bado anaona hakimtoshi tena anasindikizia kwa kusonya,,nahisi nilimpendea figo,mda c mrefu ntabadili figo naye apambane na 2017 mjini
 
Sakayo napingana na uliosema...sasa kichafu cha ajabu ni nini kwenye pichu..kama amuonea kinyaa mpenziwe ajitulize hata kujamiiana pia aone ni kinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hujanielewa, kale kakopo kufulia ni wazi kwamba hiyo chupi haitokuwa safi kwa kiwango kama mfuaji hatokuwa makini
 
Hapa ikumbukwe kuwa kila kiumbe ana Tabia zake anazozipenda na kuzichukia.

Mie mwanamke mwenye tabia hii huwa tunaachana 10:00 asubuhi.

Tabia yenyewe ni hii ya mwanamke kufua chupi yake kwenye ndoo au kopo la kuogea, ama kwa hakika Nina uwezo Wa kuvumilia uchafu wowlte toka kwa mwanamke lakini sio uchafu huo.
Ungeweka wazi ttz ni nini akifulia humo au hutaki afue kbs au utumiaji was vifaa hivyo si sawa kwako tujifunze kutoka kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maada za wengine humu ni za watoto waliokosa kuchaguliwa kidato cha tano...
 
Back
Top Bottom