Huwa simrudii mwanamke wa hivi

Huwa simrudii mwanamke wa hivi

Hivi vyuo havijafungua uludi shule?

Sent using Iphone 7+
 
Huyu atakuwa ana roho ya kukataliwa na wanawake kaombewe na gwajima mkuu
 
Mbona baada ya kuoga na pichu kufuliwa ndoo inasuzwa na kuwekewa maji ya kunywa?

Nilikutafuta Beijing kwa Mchina wako kumbe upo kwa Mtogole, kwa maelezo yako hapo juu nahisi kughairi hata kukuweka moyoni bora nimsake miss natafuta atanifaa.
 
Back
Top Bottom