salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Aaa kweli pale sikukuelewa hapa sasa nimekupata...ni kweli mkuu labda kwa hilo lakini sio kuoneana kinyaa teh tehNafikiri hujanielewa, kale kakopo kufulia ni wazi kwamba hiyo chupi haitokuwa safi kwa kiwango kama mfuaji hatokuwa makini
Sent using Jamii Forums mobile app