Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Halafu mwenyewe unakuwa huna hata habaree. Unaona kawaida tu. Matokeo yakitoka kitu no.1, first class.... Yani full kimbelembele.Kumbe na wewe ndo wale vimbelembele wenzangu! [emoji12] [emoji12] [emoji12] kutwa kuwafanya wakaka wajione vi.la.za darasani kwasababu msichana anaongoza.
Basi unashangaa vidume vinaanza kukuogopa kiaina. Foleni inapungua kama sio kuisha kabisa.
Ni experience nzuri.