Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,379
Wakuu hii tabia imekaaje?
Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.
Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.
Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?