Huwa sifungui Status za watu

Huwa sifungui Status za watu

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Wakuu hii tabia imekaaje?

Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.

Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.

Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
 
Upo kama mimi asee. Sikuwahi kupost chochote kwenye status yangu ya WhatsApp au Facebook. Na kwa ujinga wangu, sizinfungui hata siku moja.
Naona ni utoto tu watu wanachambana huko kwa navyosikia.
 
Hbr za status sitaki kabisa shobo nazo watu wameachana huko kutwa kubandikiana mastatus
 
Uko vzr kabisa hutaki umbea [emoji16] [emoji16] haswa kufungua status ya Ex wako [emoji2960][emoji2960]
 
Back
Top Bottom