Huwa sifungui Status za watu

Status nafungua maana mbs ninazo za kutosha napenda meme sana nifurai ila kufuata maadili yangu huwaga wanawake ndo sifuatilii na wengi nimefuta namba zao kuna mdada ana watoto watatu eb bhana daily kuwapost mpaka inaboa siku moja akaweka status "watoto wangi mwenyewe nawapost mniseme mtakavyo" kumbe Wana walimsema

Ile somtime inaleta inferior complex kwa wenzio Kwa mfano una kazi unapost uko ofisini daily wenzio wasio na kazi wanaona kama hawana baha8, una watoto unapost haswa wanawake Kuna wenzie hawana to hata mmoja ni age hyo hyo

Mi kama biashara naangalia zote na meme ila mpicha ya mtu binafsi tena daily nafuta tu namba au namute
 
Wakuu hii tabia imekaaje?

Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.

Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.

Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
Uzi wa kipopoma
 
mpk kufikia umelitafakari na kujistukia ushazifungua kwa njia ya panya (satus sever) hadi unajihisi wamekuona.
imebidi ncheke tu.
Nimeamua kuuliza hapa maana kila nkienda kazini staff wenzangu wanasimuliana mno vitu walivyopost status, sometimes najihisi labda sina ushirikiano na wenzangu ila najikuta niko na tabia hiyo hiyo.
 
kwahyo magrp nayo hivohvo?
 
Sipendi kabisa huo utoto. Kuna mtu wangu wa karibu kila tukitibuana ilikuwa sehemu yake hiyo kutupia vijembe. Anakuta katika watu waliopitia ujumbe wake mimi simo. Siku moja akaniuliza huwa hupitiagi status. Nikamjibu sipendi utoto unaoendelea huko
 
Wakuu hii tabia imekaaje?

Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.

Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.

Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
Confidence+Ushamba×Ujinga=Kiburi.
 
Wakuu hii tabia imekaaje?

Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.

Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.

Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
Ni kawaida kabisa mkuu.

Na status siku hizi zimekuwa ngumu sana kuziangalia so kutokuangalia ni rahisi zaidi.. mimi huwa siweki status wala siangalii status ya mtu yotote. Ila hata message pia kuchati sipendi kabisa
 
Back
Top Bottom