Huwa nakubali sana prof.muhongo!....

Huwa nakubali sana prof.muhongo!....

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,182
Reaction score
28,394
"Tumefanya utafiti duniani kote hakuna nchi iliyokuza uchumi wake kwa kuweka tozo, uchumi wa nchi unakuzwa na uzalishaji kwa wingi ukiangalia china uchumi wake umekua kutokana na uzajishaji mkubwana viwanda vingi ukiangalia saudi na marekani wote wamejikita kwenye uzalishaji mkubwa wa vitu ambavyo wanavyo kwahiyo watanzania wenzangu na wabunge wenzangu uchumi wa nchi haukuzwi kwa Tozo Na Kodi"

Professor Sospeter Mwijarubi Muhongo Mbunge wa musoma vijijini

Bila kuzitumia rasilimali zetu kwa umakini na kwa faida bila ""kuzitupa tupa kwa mkataba mibovu"",zinatosha sana kutuvusha,ili tozo zishushwe chini ili kumpa unafuu mtanzania huyu mnyonge!
1000022521.jpg
 
"Tumefanya utafiti duniani kote hakuna nchi iliyokuza uchumi wake kwa kuweka tozo, uchumi wa nchi unakuzwa na uzalishaji kwa wingi ukiangalia china uchumi wake umekua kutokana na uzajishaji mkubwana viwanda vingi ukiangalia saudi na marekani wote wamejikita kwenye uzalishaji mkubwa wa vitu ambavyo wanavyo kwahiyo watanzania wenzangu na wabunge wenzangu uchumi wa nchi haukuzwi kwa Tozo Na Kodi"

Professor Sospeter Mwijarubi Muhongo Mbunge wa musoma vijijini

Bila kuzitumia rasilimali zetu kwa umakini na kwa faida bila ""kuzitupa tupa kwa mkataba mibovu"",zinatosha sana kutuvusha,ili tozo zishushwe chini ili kumpa unafuu mtanzania huyu mnyonge!View attachment 3700803
Nyerere aliacha viwanda karibu kila mkoa lakini vilishajifia.

Kwa mfano, unapokuwa na viwanda vya kutengeneza nguo maana yake una uhakika wa soko la ndani na hivyo kupata kodi, kukuza ajira kupitia kilimo cha pamba na viwandani!
 
Back
Top Bottom