Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje?

Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.

KITANDA.jpg
 
Anzaa kwa kuchomeka shuka upande wa juu ya kichwa na chini ya miguu , halafu chomeka pembeni, upande wa pembeni ulio bakia vuta shaka mikunjo yote inanyooka yenywe tu halafu chomeka .

Au unaweza tandika tu bila kuchomeka chini ya godoro, inategemea na aina ya kitanda chako 🍺🍻
 
Jf watu wana mabeki 3 ndo wanaotandika vitanda afu wengi humu ndani mda wote ni kusafiri kwa kutumia ndege watalala saa ngapi na huku nikutafuta tu ankara. We achana na kitanda nenda kalale hos manesi watakutandikia kipenzi.
 
Hii ya Kwanza ni nzuri hata mimi natumia njia hii 🔥
 
Anzaa kwa kuchomeka shuka upande wa juu ya kichwa na chini ya miguu , halafu chomeka pembeni, upande wa pembeni ulio bakia vuta shaka mikunjo yote inanyooka yenywe tu halafu chomeka .

Au unaweza tandika tu bila kuchomeka chini ya godoro, inategemea na aina ya kitanda chako 🍺🍻
Kaka una Roho nzuriii sanaa kakaa 😁

Kaka Nina VINYWAJI CHANGAMSHI kwa ajir yenu

Aisome MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
hii ni picha halisi ya kitanda chako? kama ni ndio unawezaje kulalia, kujifunika mashuka meupe hivyo kwani umekua maiti
Pamoja umetania, wenzako hatulali kitanda kisicho na mashuka meupe hata duveti jeupe au taulo lazima iwe nyeupe. Ni mazoea mabaya maana visipokuwa vyeupe vinaonekana vichafu
 
Back
Top Bottom