Huu wizi umezidi aisee, !!!!

Hiyo ni ada ya kupata namba ya kutumia watsapp mchati. Teh teh...
 
Reactions: SDG
Shida yake ni ya haraka sana??? Si angesubiri zile trillion 108 za makinikia???
 
Acha ulimbukeni ww...unaonekana "wa nyumbani" wewe bado una ushamba fulani wa mitandao.
Cha msingi mshukuru mchina kawaletea tekno na itel ..wachimba chumvi kama nyie mnakua online...
Sasa icho ni kitu cha kupost??
Ungekua mjanja wa mitandao mtu km hiyo unamblock automatically sasa unalia lia nn hapa.
 
Teh, acha ubahili mzeya buku mbili jero kitu gani mpaka kumuanika totolito namna hii!?!?
 
Doooh bruh, like seriously? I've been online since Netscape.. do u even know what that is? Please kid, dont kill my vibe
 
Teh, acha ubahili mzeya buku mbili jero kitu gani mpaka kumuanika totolito namna hii!?!?
Hahaha mmzeya kizinga cha buku mbili jero kinachekesha sana then it makes u wonder what kind of a lowclass chick would ask for 2.5
 
Acha ubahili mzee tuma hata ten huwez jua binti wawatu anashida ya pedi siunaona bei iliokuomba
aisee we jamaa kumbe haujui vizur tabia za huko fb
Huyo atakuwa men anaandaa mazingira ya kupiga mzinga mkubwa haukawii kusikia nitumie nauli nije tuonane ukituma umeliwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…