Huu wizi umezidi aisee, !!!!

Yaan mtu hamfahamiani ghafla anakuinbox na kizinga n mostly probably its a dude tryna play some tricks. Wanaleta uhuni wa miaka ya 2000 wa Gairo
 
Acha ubahili mzee tuma hata ten huwez jua binti wawatu anashida ya pedi siunaona bei iliokuomba
 
Nimezama kwenye page yake nilicho gundua huyo binti ni mpigaji tu kaokota vipicha vya kuzuzua watu.
 
Reactions: SDG
Nakuwa muwazi namwambia sina hata kumi..siwezi nikahonga kizembe hivyo
 
Reactions: SDG

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…