Huu Utitiri Wa Gesti Mjini Songea Unaashiria Nini?!!

anasema ni wangoni mkuu!!
Hujaelewa mkuu, amesema mngoni ukumpa hela anafikisha lakini akipewa mwanamke hafiki salama.. Sasa hapo si anamzungumzia mngoni mwanaume..?? kwa hela anzifikisha.. Hajasema huyo mwanamke asiyefika salama ni wa kabila gani
 
mbona unatokwa povu mkuu?

Jamaa kasema wazi au hujamuelewa ww!!
 
pole sana mkuu, mimi niko tiyari kuthibitisha ninayoyasema wakati wowote!!

Kama ni hivyo acha ubishi,.

okay nikuulize majengo kuna gest ngapi? Zinafika 20? Kama hazifiki, je hizo ni nyingi kiasi cha kusema hujui wenyeji wanaishi wapi
 
mkuu mbona unajikanyaga mwenyewe?
Hata nikikuambia huwezi niamini maana tangu mwanzo umetanguliza ubishi!!
 
kabla ya kuandika jf unatakiwa kufanya utafiti kidogo
unaijua jeografia ya mkoa wa RUVUMA?
UNAJUA mkoa wa Ruvuma una wilaya ngapi?
na unajua mabasi ya kwenda mikoani hususani Dar yanaanzia wapi?
fikiri zamani hakukuwa na barabara zenye kiwango,so mtu anayetoka DAR anakwenda mbinga au tunduru au nyasa au namtombo lazima alale hapo MAKAO MAKUU YA MKOA SONGEA ndio kesho aanze safari
hiki kitu ndio kimechangia mkoa wa RUVUMA hususani makao makuu ya mkoa songea kuwa na nyumba nyingi za kulala wageni
huko hakuna mambo ya short time
 
umeongea point na ndio maana nyingi ziko mfaranyaki na majengo karibu na kituo cha basi.ingekuwa nia ni kufanyia mapenzi zingekuwa hadi mateka huko, makambi ambako hakuna kabisa hzo gest
 
mkuu utafiti gani wewe unaoutaka?
Unataka niandike kitabu,.
 
umeongea point na ndio maana nyingi ziko mfaranyaki na majengo karibu na kituo cha basi.ingekuwa nia ni kufanyia mapenzi zingekuwa hadi mateka huko, makambi ambako hakuna kabisa hzo gest

hizo za mfaranyaki na nyingine ulizozitaja una uhakika gani hazitumiwi kufanya anasa?
 
Back
Top Bottom