Huu Utitiri Wa Gesti Mjini Songea Unaashiria Nini?!!

chakii unashusha hadhi ya jukwaa
nimesema jeografia na nilichowahi kukishuhudia na ukitaka kujua hilo nyumba nyingi za kulala wageni zimejengwa kipindi cha zamani ambako barabara ilikuwa mbovu
barabara ya mbinga songea na barabara ya namtumbo songea
 
hahahaaaa huijui matarawe wewe....labda bombambili...matarawe kuna gest mbili tu

Makene na Ziwani haya ataje zingine.

Na kwetu mjimwema ipo moja tu kwa manya,na ni mtaa mkubwa balaa,haya ataje zingine.
 
hiyo ni Lodge siyo gesti mkuu!!

Ina maana nazungumza na mtu asiyejua kutofautisha kati ya gesti na Lodge?
 
chakii unashusha hadhi ya jukwaa
nimesema jeografia na nilichowahi kukishuhudia na ukitaka kujua hilo nyumba nyingi za kulala wageni zimejengwa kipindi cha zamani ambako barabara ilikuwa mbovu
barabara ya mbinga songea na barabara ya namtumbo songea

Lengo la huu uzi siyo kushusha hadhi ya Jukwaa mkuu,.
 
Back
Top Bottom