acha uongo wewe. Unataka kunambia songea kati ya nyumba 3, moja lazima iwe gest. Au unataka nikutafute ili tufanye research ya mji mzima tutafute idadi gest ukiringanisha na nyumba zote..Niko songea miaka kumi, naujua huu mji kaka kama machinga, gest nyingi zipo mfaranyaki, hicho ni kitongoji kimoja tu kati za zaidi ya vitongoji 20..sasa wewe unakuja kusema eti gest ni nyingi kiasi kwamba hujui wenyeji tunaishi wapi?
sijakataa kuwa hazihesabiki mkuu,.
Ila ni nyingi kupita maelezo,.
Haya twende mtaa kwa mtaa taja hizo guest.
Anzia na kwetu mjimwema.
miaka miwili Songea ni mingi sana kwa mtu mwenye kuzunguka na haichukui muda kuyafahamu maeneo mengi maana huu mji ni mdogo.
Nakushangaa sana wewe kuishi muda wote huo Songea halafu huijui,..
pole sana, BRN ya Mulugo hiyo inakupeleka chaka,..
Rudi darasani ukajifunze tena upya kwani sasa naskia Mulugo hayupo tena..
mbona interval kubwa sana hiyo mkuu,.
Unajua maana ya msururu?
mkuu upo Songea kweli wewe?
tunazungumzia facts mkuu,.
Ugeni siyo tija!
jaribu kutembea mkuu,usijifungie ndani!!
Ahaa poor research ever, Mtoa mada hakawii kupelekwa kariako then akaja kuanzisha mada kuwa dar yote ni maduka hakuna nyumb za kuishi.