Huu Utitiri Wa Gesti Mjini Songea Unaashiria Nini?!!

'gesti zimejaa songea sababu wenyeji wake ni wazinzi sana'
Basi hapo mwnyewe umefurahii? Maana ndio jibu unalolitaka, tatzo mtu unatembea sehem 1 harafu undhani hakuna kwngne kama hapo,
Nenda makambako, mafinga,moro, dodoma,kyela tunduma ukajionee.

mkuu hayo ni maneno yako, huenda unamaanisha kitu!!
 
Naunga mkono hoja

hoja gani mkuu, gesti hazina booking hata ya siku nzima?

hata ukitaka kuchukua chumba kwa siku kadhaa wanakataa wanataka show time tu maana wanasema ndiyo inayolipa!!
 
Kwani uko songea kwa sasa?

Watu wa hapo bana, sio wachoyo. Ni wakarimu mnooo. Mimi nikija huwa nafikia chini ya sodeko. Kuna Lodge fulani ya bei cheeee ina jina la wilaya fln ya mtwara.
 
Hmmmm we mtoa mada ni mgeni kabisa na Songea..tuulize wenyeji tukuambie,mpaka tunakariri guest/lodge zote ujue zipo za kuhesabika
 
Mleta uzi hakika huijui Songea!!! Nadhani wewe unapajua hapo stand kuu tu ndo unakuja na uzi wa guest kibao!! Umetembea wapi wewe hapo Songea? Umefika Msamala,Mshangano,Shule ya Tanga,Mlilayoyo,Hanga,Mtyangimbole,Gumbiro huko kote kuna gest utitiri?
 
Hajafika namanditi,Kitai,nakahuga,Mletele,mkuzo,Likuyufusi...
 
hoja gani mkuu, gesti hazina booking hata ya siku nzima?

hata ukitaka kuchukua chumba kwa siku kadhaa wanakataa wanataka show time tu maana wanasema ndiyo inayolipa!!

wewe jibu unalotaka umeshapewa "kuwa sis wakaz wa songea ni wazinz" hilo ndio jambo unalolichokonoa indirect ili lijadiliwe hapa..je nikuulize ulifanya research ktk gest zote ukaambiwa hawataki kufanya booking ya siku nyingi? Kama hukufanya basi nawe ni mmoja ya wazinzi na wateja wa hizo gest..nahisi wewe ni mwanafunzi either wa St. augustine au st. Joseph na wengi wanafunzi wanaishi mfaranyaki, majengo, na lizaboni tu na ndio maeneo yenye gest nyingi, lakini sio songea yote, usitudanganyeee, wewe uko songea miaka miwil? Mi mwenzio tokea 2003 hadi leo na wala sitaraji kuondoka
 
Hajafika namanditi,Kitai,nakahuga,Mletele,mkuzo,Likuyufusi...

hajafika makambi, matogoro, ruvuma, mahilo, mateka kwa mama sabena, mateka ya wayao, chemchemu, luhira iliko songea boyz, kipera n.k poor analysis.. ni sawa na mimi niende Msamvu pale Morogoro then nije nianzishe mada kuwa Morogoro kuna lodge nyingiii
 
Kuna gest ngapi umeziona na kuhesabu tulinganishe na morogoro pia

hajatembeatembea Msamvu morogoro pale karibu na chuo cha kiislam, mtaa mzima kuna lodge hakuna nyumba ya familia hata moja, na mitaa ya sabasaba.. Huwa wanaboa kweli watu wanaojifanya wametembea nchi nzima then kufanya comparison
 
Kwa Ukarimu hawa ndugu zetu wa Songea nawapa 100% mkuu!!

Tatizo wingi wa Gesti mji huu ni mkubwa mno,..

We jamaa we hao watu wakalimu ?
Heeeee take care !

Ila mji huo hauna guest nyingi sana kiasi cha ajabu ! 2 years hujazunguka bado ! Bado sana mkuu

ila kiufupi mji umetawaliwa na Ngono !
 
We jamaa we hao watu wakalimu ?
Heeeee take care !

Ila mji huo hauna guest nyingi sana kiasi cha ajabu ! 2 years hujazunguka bado ! Bado sana mkuu

ila kiufupi mji umetawaliwa na Ngono !

Mji gani usio na ngono best, nenda mji unaitwa Mafinga, wenyeji wenyewe wanakupa warning kwamba kuwa makini kuna kaugonjwaa hapa,
 
hoja gani mkuu, gesti hazina booking hata ya siku nzima?

hata ukitaka kuchukua chumba kwa siku kadhaa wanakataa wanataka show time tu maana wanasema ndiyo inayolipa!!

acha kuongea mambo bila kutafiti kwa makini
si kweli, Guest zipo nyingi ndiyo ila zinajazwa na wageni either wafanyabiashara au wafanya project mbalimbali na unakuta chumba kinamteja mmoja hata wiki nzima.
 
nadhani hauna uhakika na unachozungumza mkuu, Jaribu kuchunguza zaidi,.
 
Mji gani usio na ngono best, nenda mji unaitwa Mafinga, wenyeji wenyewe wanakupa warning kwamba kuwa makini kuna kaugonjwaa hapa,

hapa tunazungumzia wingi wa gesti mkuu,..
 
We jamaa we hao watu wakalimu ?
Heeeee take care !

Ila mji huo hauna guest nyingi sana kiasi cha ajabu ! 2 years hujazunguka bado ! Bado sana mkuu

ila kiufupi mji umetawaliwa na Ngono !

miaka miwili siyo midogo mkuu kwani shughuli zangu siyo za kukaa sehemu moja tu,..

Nimepita maeneo mengi kwa hiyo nina uhakika na ninachokizungumza,,
 
Back
Top Bottom