Huu utaratibu wa kupata Leseni ya Biashara kupitia Online Application...

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
450
673
Husika na heading hapo juu, kuna huu utaratibu mpya ukishapata Tax Clearance toka TRA, inatakiwa ufanye application online ili kupata leseni.

Je, kuna mtu kafanikiwa katika hili, maana nipo mbali na offisi zao na simu hawapokei, sijui ndio wapo likizo.

Msaada tafadhali

Michango

Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username.

Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance.

Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
 
Mkuu mie kila nikiapload documents zinagoma. Yaani zinakubali mbili za upande wa kushoto, mbili zinakataa. Tatizo ni nini?
 
Wanapendelea zaidi pdf na image sasa wewe weka kwenye hizo format halafu load angalia na size kama sikosei hazitakiwi kuzidi 5MB. Na kitu kimoja ukiload documents ukiclose lazima uload again hii nafikiri hakuwa very friend design ila hivyo ndivyo ilivyo.

Mkuu mie kila nikiapload documents zinagoma. Yaani zinakubali mbili za upande wa kushoto, mbili zinakataa. Tatizo ni nini?
 
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username.

Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance.

Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.

mkuu hii system naona inagoma kwenye kuchagua district, ward na village. Iko hivyo au ni tatizo la muda tu? pia ni mpaka nipate tax clearnce ndiyo nijaze? maana nimeona wametaka tu TIN, kodi ya robo nimeshalipia lakini. Wamefanya vyema kurahisisha huu mchakato.
 
Hii kitu ni Tanzania yote ama ni wilaya ya Ilala tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hii system naona inagoma kwenye kuchagua district, ward na village. Iko hivyo au ni tatizo la muda tu? pia ni mpaka nipate tax clearnce ndiyo nijaze? maana nimeona wametaka tu TIN, kodi ya robo nimeshalipia lakini. Wamefanya vyema kurahisisha huu mchakato.
Tax clearance kwa anaeanza biashara hawezi kuipata online?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom