Valentina ashaanza kuona nyota nyota na kuhisi kihindi hindi ndo maana inakuwa ngumu sana kwake kusimamia kondoo wake
hv Mr Rocky nishakwambia huwa nakumisiga!?
Hivi mukulu unajua kuwa kuna tofauti kati ya Valentina na 'Valentina' ????????
Angalia usije kuingia choo cha kike......!!!!!!!!!
Not interested. Don't waste your time.
Usimpe shetani utukufu. njoo nikufanyie maombi. Natangulia kwenye inbox ya PM. usichelewe tafazali.
Hao ni watu wawili tofauti
Kuwa macho mkuu!!!!!!!!!!
Nishaona mkuu hilo asante sana kwa ufafanuzi huo maana hapa ningechanganya madesa mbaya na kumix chemical hapa 'Valentina' angalia sana aise
Usijali mkuu ngoja niangalie kama nitapata wa kinitolea huu upweke ....!!!!
tatizo lako Eiyer unahold negative attitude against women na una msimamo mkali dhidi ya masuala ya ndoa iko siku utauona ukweli kwenye mwanga mweupe mkuuna utapata wa kukuondolea upweke
Mkuu haya makitu inatakiwa uwe na msimamo kama wa Ghadafi
Hebu ngoja huenda nikampata mmoja...!!!!!!!!!!!!!!