Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 886
- 664
Huseni hana makuu Sidhani kama alijiandaa sana katika hilo inawezekana ameweka kwenye mzani na kaona kakake Amani kachukua form ni mapambano ya kifamilia ambayo haiwezi kuwa na Tina sana kwa Taifa LA Z'bar.Kama wanna Sifa sioni shida na hussen Katia Nia na sio kawa rais. Mbarawa kuchukua au kakatwa kuchukua fomu?
nchi yake ni ya kifalme but ni miongoni mwa nchi Tajiri, sasa tunapoongelea znz niya kisultani huwa inachekesha sana, bora kiitwe kikundi chenye maslahi kwao kinachoekwa kwa mitutu ya bunduki, yaani kipokipo tu amna maendeleo yyte, wapo pale kulinda mapinduzi
