Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,497
- 2,739
Hata mimi nadhani ni hivyo maana si kwa kumpamba na kumsifia kiasi hicho!!!😆😆😆We jamaa ni mtoto wake wa damu nini??
Hata mimi nadhani ni hivyo maana si kwa kumpamba na kumsifia kiasi hicho!!!😆😆😆We jamaa ni mtoto wake wa damu nini??
Who the hell is she to be interviewed by BBC especially on the important event like this one in British. By the way nobody is caring about her presence in the funeral neither is nobody caring if she is president of this dark country.Nimefuatilia matangazo ya bbc kutoka London. Naona wanajitahidi kuwafanyia mahojiano viongozi wa kike akiwemo waziri mkuu wa Bangladesh na PM wa New zealand.
Ila sijaona mama yetu ambaye ni Rais kabisa akitafutwa na kuhojiwa. Isitoshe ameingia London mapema sana jana huku. Je huu sio upendeleo wa wazi? Kweli mawaziri wakuu ni muhimu kuliko Rais tena mwanamke?
Msiba una mualiko ?...anyway amealikwa .Je alialikwa ama?tuonyeshe mualiko
If you don't care then what ?...Who the hell is she to be interviewed by BBC especially on the important event like this one in British. By the way nobody is caring about her presence in the funeral neither is nobody caring if she is president of this dark country.
We inaonekana haukuwa mwanafunzi mtiifu wa mwendazake. Unafuatilia sana vyombo vya mabeberu badala ya kukomaa na Safaru chanelNimefuatilia matangazo ya bbc kutoka London. Naona wanajitahidi kuwafanyia mahojiano viongozi wa kike akiwemo waziri mkuu wa Bangladesh na PM wa New zealand.
Ila sijaona mama yetu ambaye ni Rais kabisa akitafutwa na kuhojiwa. Isitoshe ameingia London mapema sana jana huku. Je huu sio upendeleo wa wazi? Kweli mawaziri wakuu ni muhimu kuliko Rais tena mwanamke?
Wazungu huweka maslahi yao mbele kwanza.Nimefuatilia matangazo ya bbc kutoka London. Naona wanajitahidi kuwafanyia mahojiano viongozi wa kike akiwemo waziri mkuu wa Bangladesh na PM wa New zealand.
Ila sijaona mama yetu ambaye ni Rais kabisa akitafutwa na kuhojiwa. Isitoshe ameingia London mapema sana jana huku. Je huu sio upendeleo wa wazi? Kweli mawaziri wakuu ni muhimu kuliko Rais tena mwanamke?
Wanajua bwana kile ni chombo cha serikali kama ilivyo TBC.Kama ubalozi wenu haukufanya pr ya kutosha na maandalizi ya interview hilo haliwezi kutokea. Maandalizi yanafanyika kabla. BBC hawa google kujua nani kaja, nani ana muda na nani yuko tayari kuulizwa nini
Hivi unajua viongozi wote wa Africa wamepanda bus moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msiba una mualiko ?...anyway amealikwa .
Tulia.Nimefuatilia matangazo ya bbc kutoka London. Naona wanajitahidi kuwafanyia mahojiano viongozi wa kike akiwemo waziri mkuu wa Bangladesh na PM wa New zealand.
Ila sijaona mama yetu ambaye ni Rais kabisa akitafutwa na kuhojiwa. Isitoshe ameingia London mapema sana jana huku. Je huu sio upendeleo wa wazi? Kweli mawaziri wakuu ni muhimu kuliko Rais tena mwanamke?
Hutapata like hata1 kwa pumba ulizoandikaAcha ujinga wewe, Hivi Nani asiye Tambua kazi ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati? Unapozungumza Tanzania maana yake unamzungumza mama yetu Samia, Sasa utamkwepa vipi mama Samia katika kulinda amani ya ukanda huu na Afrika kwa ujumla?
Tanzania chini ya mama Samia imeendelea kuwa kimbilio la wanyonge na wanazohitaji kupumzika Kama ulivyoona Raila Odinga akina hapa Tanzania kupumzika,
Dunia inamtambua na unatambua mchango wa mh Rais wetu mpendwa kwa kupigania haki ya Elimu kwa mtoto wa kike, Hata ukienda Taasisi kubwa za kiharakati na haki za kibinadamu wanatambua Alama ya mama yetu Katika kumuwezesha mtoto wa kike kupata Elimu biila kikwazo
Dunia inatambua mchango wa mama Samia katika kupunguza vifo vya mama na mtoto baada ya juhudi zake za kuboresha huduma za Afya na kusogeza huduma karibu ya mwananchi
Dunia inatambua mchango wa mama yetu Katika kuhakikisha usalama wa chakula unakuwa imara na hata kuwalisha majirani zetu Kama Kenya wenye shida ya chakula kutokana na ukame kwao
Dunia inatambua mchango wa mama yetu Katika kupambana na mfumuko wa Bei, kuvutia wawekezaji na kuifanya Tanzania kuwa chaguo namba moja kwa mgeni yoyote atakaye kuja katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kusini mwa Afrika
Mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndio kioo Cha Afrika kwa Sasa katika uongozi Bora na utawala wa sheria
Kweli wewe unamatatizo, kwa hiyo unaandika madudu yako ili upate like hapa?Hutapata like hata1 kwa pumba ulizoandika
Akirudi wahi eapoti umuhoji wewe, yote ni sawa tu.Nimefuatilia matangazo ya bbc kutoka London. Naona wanajitahidi kuwafanyia mahojiano viongozi wa kike akiwemo waziri mkuu wa Bangladesh na PM wa New zealand.
Ila sijaona mama yetu ambaye ni Rais kabisa akitafutwa na kuhojiwa. Isitoshe ameingia London mapema sana jana huku. Je huu sio upendeleo wa wazi? Kweli mawaziri wakuu ni muhimu kuliko Rais tena mwanamke?
Embu Tulia wewe na Tambua kuwa hadhi ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ni kubwa Sana kuliko hata chombo au mwandishi wa habari, hata ukitaka kuongea na mh Rais wetu mpendwa lazima ufuate utaratibu wa kuomba nafasi, au unazani mh Rais wetu mpendwa Ni Kama Rais wa bend ya mziki?