Huu sasa ni upendeleo wa wazi BBC

Huu sasa ni upendeleo wa wazi BBC

Wewe kwa ndoto zako ndio wasema hayo lakini Dunia inamuangalia mama Samia Kama tumaini jipya la uongozi wenye kuleta matumaini kwa watu wote, ANaangaliwa Kama kiongozi wa kuigwa, anaangaliwa Kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Afrika na hata nje ya Afrika kwa sasa

Mama majinja express.
 
Kaza
Acha ujinga wewe, Hivi Nani asiye Tambua kazi ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati? Unapozungumza Tanzania maana yake unamzungumza mama yetu Samia, Sasa utamkwepa vipi mama Samia katika kulinda amani ya ukanda huu na Afrika kwa ujumla?

Tanzania chini ya mama Samia imeendelea kuwa kimbilio la wanyonge na wanazohitaji kupumzika Kama ulivyoona Raila Odinga akina hapa Tanzania kupumzika,

Dunia inamtambua na unatambua mchango wa mh Rais wetu mpendwa kwa kupigania haki ya Elimu kwa mtoto wa kike, Hata ukienda Taasisi kubwa za kiharakati na haki za kibinadamu wanatambua Alama ya mama yetu Katika kumuwezesha mtoto wa kike kupata Elimu biila kikwazo

Dunia inatambua mchango wa mama Samia katika kupunguza vifo vya mama na mtoto baada ya juhudi zake za kuboresha huduma za Afya na kusogeza huduma karibu ya mwananchi

Dunia inatambua mchango wa mama yetu Katika kuhakikisha usalama wa chakula unakuwa imara na hata kuwalisha majirani zetu Kama Kenya wenye shida ya chakula kutokana na ukame kwao

Dunia inatambua mchango wa mama yetu Katika kupambana na mfumuko wa Bei, kuvutia wawekezaji na kuifanya Tanzania kuwa chaguo namba moja kwa mgeni yoyote atakaye kuja katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kusini mwa Afrika

Mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndio kioo Cha Afrika kwa Sasa katika uongozi Bora na utawala wa sheria

Kazana Sana utapata teuzi. Leo Mama kaoneshwa hdhi yake. Marais wanaojitambua Kama Hichilma wapo New York, hawana muda wa kupanda Majinja Express.
 
Embu Tulia wewe na Tambua kuwa hadhi ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ni kubwa Sana kuliko hata chombo au mwandishi wa habari, hata ukitaka kuongea na mh Rais wetu mpendwa lazima ufuate utaratibu wa kuomba nafasi, au unazani mh Rais wetu mpendwa Ni Kama Rais wa bend ya mziki?
Yeye anadhani ni sawa na rais wa Simba/Yanga
 
Acha ujinga wewe, Hivi Nani asiye Tambua kazi ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati? Unapozungumza Tanzania maana yake unamzungumza mama yetu Samia, Sasa utamkwepa vipi mama Samia katika kulinda amani ya ukanda huu na Afrika kwa ujumla?

Tanzania chini ya mama Samia imeendelea kuwa kimbilio la wanyonge na wanazohitaji kupumzika Kama ulivyoona Raila Odinga akina hapa Tanzania kupumzika,

Dunia inamtambua na unatambua mchango wa mh Rais wetu mpendwa kwa kupigania haki ya Elimu kwa mtoto wa kike, Hata ukienda Taasisi kubwa za kiharakati na haki za kibinadamu wanatambua Alama ya mama yetu Katika kumuwezesha mtoto wa kike kupata Elimu biila kikwazo

Dunia inatambua mchango wa mama Samia katika kupunguza vifo vya mama na mtoto baada ya juhudi zake za kuboresha huduma za Afya na kusogeza huduma karibu ya mwananchi

Dunia inatambua mchango wa mama yetu Katika kuhakikisha usalama wa chakula unakuwa imara na hata kuwalisha majirani zetu Kama Kenya wenye shida ya chakula kutokana na ukame kwao

Dunia inatambua mchango wa mama yetu Katika kupambana na mfumuko wa Bei, kuvutia wawekezaji na kuifanya Tanzania kuwa chaguo namba moja kwa mgeni yoyote atakaye kuja katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kusini mwa Afrika

Mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndio kioo Cha Afrika kwa Sasa katika uongozi Bora na utawala wa sheria

Ona ili nalo ,
Unasifia utumbo tupu.....[emoji23][emoji23]
 
Hapo hapo tafiti zinasema Watanzania waliowengi wamefurahishwa sana na Tozo.😄
weka ripoti ya tafiti hizo kusema tu bila ya kuweka ushahidi ni subjective statemnt.you need to be pragmatic.
 
Sawa
 
Hawa ni kusikiliza tu taarifa zao za habari basi, mambo mengine wanayoongea ni kuyapotezea mazima, BBC wako biased sana, wanaendeshwa na jina kubwa lao BBC hawa wa sasaiv
 
Hakuna amayekutawala wewe mtu mweusi ngedere unatawaliwa na udumavu WA akili , ubinafsi , tamaa , wivu ,majungu , uvivu , ukosefu WA maono , uzezeta , wizi na lundo la tabia nyingi mbovu ulizonazo .
Kwajinsi ulivyotukana na hata kukebehi uumbaji wa MUNGU nina Wasi Wasi uliyo yaandika yamo ndani yako!
 
Back
Top Bottom