Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

Nawalaani watanzania wote waliompigia kura Magufuli October 25 2015 maana wametuletea majanga tu kwenye nchi yetu
Hapo umekosea na hiyo laana itakurudia wewe mwenyewe kwani kuna haki ya kila Mwananchi ya kumchagua kiongozi anaye mtaka huwezi kumlazimisha mtu amchague kiongozi unaye mtaka wewe .Hapo sipo pamoja na wewe mkuu umekosea unavyosema. Hiiyo laana itakurudia wewe mwenyewe.
 
Tusilaani. Badala yake tumwombe Mungu ili awashughulikie WOTE waliohusika kwa namna anavyojua Yeye Mungu mwenyewe.
 
Kwani laana zimekwisha? Au mwenda zake ameondoka nazo zote? Na alaaniwe aliyeanzisha tozo za miamala ya simu.. watu wote na waseme amina
 
Back
Top Bottom