Huu ni utabiri wangu kuhusu corona

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,856
2,953
Hallow
Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf.

(1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa pini kuingia nchi za wenzetu.

(2) Mwaka huu hatutakuwa na maonyesho ya biashara ya sabasaba wala nanenane.

3
Maambukizi yataongezeka na nchi nzima itawekwa Lockdown.

(4)Mwaka huu hatutakuwa na uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wala madiwani.

(5)
Nchi ya burundi ambayo shughuli zote zinaendelea bila kuchukua tahadhari ikiwemo ligi kuu yao na kombel la rais
Itabigwa na corona na serikali ya nchi hiyo itafuta uchaguzi mkuu na rais Nkurunziza kuendelea kuongoza taifa la Burundi.

Nawa mikono na epuka misongamano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka uchuro wako huko,nenda kawatabirie ukoo wako Mambo ya ovyo hayo

Nayaona hayo yakija maafa makubwa sana na ugonjwa huu waweza kuendelea hadi next year.
 
Hallow
Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf.

(1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa pini kuingia nchi za wenzetu.

(2) Mwaka huu hatutakuwa na maonyesho ya biashara ya sabasaba wala nanenane.

3
Maambukizi yataongezeka na nchi nzima itawekwa Lockdown.

(4)Mwaka huu hatutakuwa na uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wala madiwani.

(5)
Nchi ya burundi ambayo shughuli zote zinaendelea bila kuchukua tahadhari ikiwemo ligi kuu yao na kombel la rais
Itabigwa na corona na serikali ya nchi hiyo itafuta uchaguzi mkuu na rais Nkurunziza kuendelea kuongoza taifa la Burundi.

Nawa mikono na epuka misongamano.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiwe pimbi kupitiliza jifunze kwa Uganda na Rwanda pamoja na nyoko down yao wagonjwa ni wengi

Sent using IPhone X
 
Hallow
Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf.

(1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa pini kuingia nchi za wenzetu.

(2) Mwaka huu hatutakuwa na maonyesho ya biashara ya sabasaba wala nanenane.

3
Maambukizi yataongezeka na nchi nzima itawekwa Lockdown.

(4)Mwaka huu hatutakuwa na uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wala madiwani.

(5)
Nchi ya burundi ambayo shughuli zote zinaendelea bila kuchukua tahadhari ikiwemo ligi kuu yao na kombel la rais
Itabigwa na corona na serikali ya nchi hiyo itafuta uchaguzi mkuu na rais Nkurunziza kuendelea kuongoza taifa la Burundi.

Nawa mikono na epuka misongamano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika upi Nkurunziza atakuwepo?
 
Back
Top Bottom