Huu ni utabiri wangu kuhusu corona

Huu ni utabiri wangu kuhusu corona

Muda ni mwalimu mzuri tu ,watakuelewa ,,,kuhusu kuudhibiti nichangie kdgo tu unawezaje kufunga shule kuepuka misongamano ya wanafunzi alafu eti makanisa na misikiti iendelee na huduma zake ,wakati huko pia Kuna mikusanyiko pia ,,any way kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni,,tunafanya mzaha kabisa Yani ,,haya tupo na case 46 Sasa ,twendeni tu ,;;
Hallow
Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf.

(1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa pini kuingia nchi za wenzetu.

(2) Mwaka huu hatutakuwa na maonyesho ya biashara ya sabasaba wala nanenane.

3
Maambukizi yataongezeka na nchi nzima itawekwa Lockdown.

(4)Mwaka huu hatutakuwa na uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wala madiwani.

(5)
Nchi ya burundi ambayo shughuli zote zinaendelea bila kuchukua tahadhari ikiwemo ligi kuu yao na kombel la rais
Itabigwa na corona na serikali ya nchi hiyo itafuta uchaguzi mkuu na rais Nkurunziza kuendelea kuongoza taifa la Burundi.

Nawa mikono na epuka misongamano.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pumbavu.
Hata kama itakuwa kweli ila tumia maneno ya kutupa moyo kidogo😂
 
Na watachapika mpaka wachakae.
Maana mikusanyiko, hairuhusiwi ila watu bado mnakusanyika kama kawaida.
Harafu kukaa lockdown mnalia eti mtakufaa njaa kwani pesa mlizokusanya miaka yote huwa mnafanyia nini kama hamuwezi kukaa japo miezi miwili bila kufanya kazi?

Tatizo la sisi watanzania hatuna utamaduni wa kujiwekea akiba ya pesa, yaani lockdown ya mwezi mmoja au miwili mtu analalamika eti atakufaa njaa na yuko mjini!!
Sasa mjini unafanya nini kama hata pesa huna si bora ukakae shamba ulime mihogo na viazi.
Halafu wanaojifanya kupanic huu ugonjwa ndio unawachapa vilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo unaongea juu juu haupo ROHONI, Hakuna madhara makubwa yatatokea nchini.....shujaa wetu ataibuka kinara mda mfupi kwa kutetea watu wake (KAZI na CORONA)
 
Kauli kama hizi si wa kwanza wewe kuzitamka, zilitamkwa na Trump akiwemo na waziri mkuu wa Italy.
Kuna mambo ambayo tunaweza kuamua wenyewe ila kuna mambo ambayo yatatuamulia mambo yetu.
tatizo unaongea juu juu haupo ROHONI, Hakuna madhara makubwa yatatokea nchini.....shujaa wetu ataibuka kinara mda mfupi kwa kutetea watu wake (KAZI na CORONA)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hallow
Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf.

(1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa pini kuingia nchi za wenzetu.

(2) Mwaka huu hatutakuwa na maonyesho ya biashara ya sabasaba wala nanenane.

3
Maambukizi yataongezeka na nchi nzima itawekwa Lockdown.

(4)Mwaka huu hatutakuwa na uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wala madiwani.

(5)
Nchi ya burundi ambayo shughuli zote zinaendelea bila kuchukua tahadhari ikiwemo ligi kuu yao na kombel la rais
Itabigwa na corona na serikali ya nchi hiyo itafuta uchaguzi mkuu na rais Nkurunziza kuendelea kuongoza taifa la Burundi.

Nawa mikono na epuka misongamano.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/Kusema kuwa mvua itanyesha baada ya mawingu kutanda, sio kwamba wewe Ni mtabiri Bali umesoma nyakati kulingana na hali harisi. Mimi nakubaliana na mtoa mada kulingana na dalili zilizopo. Si Tanzania au Burundi. Jambo kuu Ni kuwa na tahadhali ili hatari isitukumbe kwa uzembe wa viongozi wa kutochukua hatua ya kuwalinda laia zao.
 
Back
Top Bottom