Huu ni Ushamba na ulofa.

wewe bwege nn jina langu limefuata nn hapo,halafu namba 3 ina kaukweli waongaji wakubwa ni majitu yasiyojua kutongoza..ingawa kumpa demu wako kias fln cha pesa ina raha yake hasa ukipata demu anayejielewa

Pole sana mkuu.
Maisha ndio hivyo
 
Hata huyo rais Mkapa wako naye Mtanzania. Kwa hiyo na yeye lofa kwa msingi huo.
Huoni alikuwa anaita watu malofa alafu dakika chache anachanganyikiwa anaomba kura. Yaani nilikuwa nacheka sana.
 
Ni ulofa kushabikia mpira??????? Wanawake mkiona mwanaume hashabikii mpira huyo ana mapungufu
Ni ulofa kushabikia mambo ambayo hayana faida zaidi ya kupoteza muda.

Huwezi elewa sasa hivi ila ipo siku utaelewa ulikuwa lofa na kichaa Kwa kushabikia mambo ambayo hayakuongezei hata dakika moja ya uzima
 
Namba 1 sawa ila hayo mengine ni ushamba na ulofa kutokana na mtazamo wako wa Dunia yako. Umesahau kuwa binadamu wote hawawezi kuwa wewe. We can't have the same personality at all.
 
Hivi huoni taifa lipo ktk janga gani kwa sasa mkuu? Au n wewe tukuite mtu wa aina gan kwa ulichofanya iki kwenye post yako? .... Muwe mnafikiri n co kukurupuka tu kama ivi.... Macho, mackio n akili vyote vpo sheikh amri abeid.... Kuna hauna akili, na wengineo mtaoiona hii comment bs pingeni ... Alaaah
 
Ni ulofa kushabikia mambo ambayo hayana faida zaidi ya kupoteza muda.

Huwezi elewa sasa hivi ila ipo siku utaelewa ulikuwa lofa na kichaa Kwa kushabikia mambo ambayo hayakuongezei hata dakika moja ya uzima
Naona umejiweka ID kabisa halafu ukitongoza ukakataliwa utalalamika umerogwa kumbe sababu hizi post zako za kilofa
 
Una maana gani mkuu? Kwani taifa lipo kwenye nini?
 
Naona umejiweka ID kabisa halafu ukitongoza ukakataliwa utalalamika umerogwa kumbe sababu hizi post zako za kilofa

Jidanganye hapo.

Aliekuambia wanawake wanaangalia post unazotoa naye ni lofa tuu.
 
Not bad... U shd av to hold on 4 a moment, then kwa wengine pia.... Anyway endelea bt nliona nkutolee povu ww mkuu, mov on boss
 
Dini wote tumeletewa sijui ww dini gan, uscho kipenda ww wengne wanakipenda jpange tena kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…