Huu ni Ushamba na ulofa.

Ni USHAMBA na ULOFA kuzaa mtoto mpuuzi kama wewe na kumwacha akue. Ilikuwa bora mama atoe mimba yako au atupe kichanga ulipozaliwa kuliko kuleta Shida hii duniani.
 
Mmmmmh kali ya mwaka unatumia vipi account ya mtu kwani kufungua account sh ngap!!!!!! Uwo ni mtazamo wako tyu sir
 
Ni USHAMBA na ULOFA kuzaa mtoto mpuuzi kama wewe na kumwacha akue. Ilikuwa bora mama atoe mimba yako au atupe kichanga ulipozaliwa kuliko kuleta Shida hii duniani.
Umepaniko Broo. Take it easy.
 
Kukejeli watu kutokana na jinsia na kabila kama ulivyoanza hapo kwa "mwanamke wa Kizaramo" nako ni ushamba na ulofa.
 
wewe bwege nn jina langu limefuata nn hapo,halafu namba 3 ina kaukweli waongaji wakubwa ni majitu yasiyojua kutongoza..ingawa kumpa demu wako kias fln cha pesa ina raha yake hasa ukipata demu anayejielewa
 
Kwa hisani ya kiumeni.

4. Ni Ushamba kutongoza tongoza kila mwanamke unayemuona. Huu ni ulofa uliovuka mipaka. Wanaume wanaotongoza tongoza wanawake ovyo mara nyingi hawana nguvu za kiume.
Wana nguvu za tiger ndio maana wanatongoza
 
Kukejeli watu kutokana na jinsia na kabila kama ulivyoanza hapo kwa "mwanamke wa Kizaramo" nako ni ushamba na ulofa.
Sante sana! Sante sana. Mkuu. Rais Mkapa hakuwa mbali na ukweli alipoita watanzania ni malofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…