Huu ni Ushamba na ulofa.

We ni nani hata ujifiche. Watu wanatumia Fake ID ndio maana wanaweza kuandika hata matusi humu. Kama mtu hutaki kujiexpose si uache kabisa Kutumia hiyo mitandao ya kijamii
 
Uhuru ndio ukichaa huo mkuu.

Kwani bila fake ID huwez kuwa huru?

Ulofa ndio unasumbua watu. Kuonyesha tabia yako ndio ikunyime uhuru?
Wewe picha za watu unazitakia nini? Huku hatujaja kuangaliana sura... Ukitaka hiyo nenda fesibuku na instagramu... Sura zimejaa kibao. Hatutafuti marafiki huku... Mwendo wa kutoa hoja tu
 
2. Ni utoto sana!
 
iyo no 5, umeandika ujinga mkubwa kupindukia, hakuna ambacho akili ya binadamu imetaman alaf ikakosa kukipata,all u need to have ni burning desire,persistence and faith ,ivo tu mengine yote yatakuja yenyewe,so apo rekebisha mkuu
Huwez pata kitu ambacho huwezi kukipata mkuu. Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kutamani kitu ambacho hawez kukipata
 
Wewe picha za watu unazitakia nini? Huku hatujaja kuangaliana sura... Ukitaka hiyo nenda fesibuku na instagramu... Sura zimejaa kibao. Hatutafuti marafiki huku... Mwendo wa kutoa hoja tu
Huo ndio Ulofa unaozungumziwa hapa.
Unafikiri Kwa nini kuna sehemu ya Username mkuu?
 
Huwez pata kitu ambacho huwezi kukipata mkuu. Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kutamani kitu ambacho hawez kukipata
ouky nshajua naongea na mtu wa namna gn, sikia kijana km kwel kitu umeamua kukipata hakuna kisichoshindika mfano,wewe jiulize mtu wa kwanza kudiscover simu we unadhan jamii ya kipind hicho ilimchuliaje! km sio kichaa,but today we have been there because of him, huo ni mfano tu so, we jiulize km huyo amepata vp hawa wanaotaman magar na vitu vingine ambavyo ni vya kawaida sana, make it outta box mkuu, funguka kifikra
 
Hakuna kitu kama Taifa duniani. Hizi ramani za nchi tulichorewa na wazungu. Dunia haina nchi. Hakuna mipaka. Mipaka iko kichwan kwako
 
kwahiyo hadi mm nawewe??????love

Ndio hivyo My.

Ukiwa Chama cha matapeli wewe ni lofa.
Chama cha Denge na matapu tapu Lofa.

Yaani kushabikia Jambo ambalo hupati faida yoyote ni Ulofa tuu.

Muulize B. M
 
Mkuu soma vizuri mkuu.

Kila kitu ni Ubatili na kujilisha upepo. Huo ndio Ulofa.
 
Sawa dada yetu tumekuelewa na Ujinga wako
 
Hakuna kitu kama Taifa duniani. Hizi ramani za nchi tulichorewa na wazungu. Dunia haina nchi. Hakuna mipaka. Mipaka iko kichwan kwako

Mkuu bado hujaelewa Somo. Naomba urudie kusoma vizuri hiyo matini
 
Sawa dada yetu tumekuelewa na Ujinga wako

Akili yako ndogo kuliko hata ya nzi imeshindwa kujua hata falsafa ya alieandika ni mwanaume au mwanamke mpaka uniite Dada. Wee kweli Lofa.

Ukisoma matini yoyote utulie sio uwe kama umekurupushwa na mkojo wa asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…