Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,593
Kwa kila tukio unatakiwa kujifunza kitu.
Mpaka hapa chukulia kwamba kwenye cycle ya rafiki zako hakuna anayejali furaha yako.
Kama hawajali furaha yako, means watashangilia huzuni zako.
Anza kuwaepuka, usiwape muda na attention kama ukivyokuwa unafanya mwanzo.