Huu ni ulimbukeni au utoto?

Huu ni ulimbukeni au utoto?

Seriously... Kwanini unitaabishe kusoma
Sitaki kukuchosha kusoma, ninachofanya ni kupunguza mlolongo wa vifungu vingi vya kusoma ndio maana nakuandikia vifupisho vyenye mbwembwe ili unielewe zaidi.. Kwa maana wengine ukiwatumia jumbe watakwambia ndefu punguza
 
Mi usiniandikie hizo mbwembwe zako wala
 
ni kweli wanaboa sana mkuu lakini wapotezee bure.
 
Mi usiniandikie hizo mbwembwe zako wala
So, niende moja kwa moja kwenye mada husika pasi na mbwembwe?? (Straight to the point, simple and clear)

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
 
Hahaha...hao ni wale ambao hawajaenda shule ila wamekariri kuchart...na ukiona mwanaume anachart kihivyo ujue ni rahisi sana kuwa shoga.
 
Qwan vepe?? Xaxa xi uwe fri kuxhea nae idea 2!! xio frexh uxiw mvivu

Hahaha niliwahi kumuambia dogo akiniandikia tena sms hivi ntamfanya kitu mbaya nashukuru kabadilika sasa
 
aiseee,,,m hua sijibu msg za ivo aisee
 
Back
Top Bottom