Huu ni ulimbukeni au utoto?

Huu ni ulimbukeni au utoto?

Kwahiyo unataka kusema neno 'vipi' ni refu kuliko 'vepee'? Au 'xaxa' ni ndefu kuliko kuandika 'sasa'?
Kimsing vipi huwa wanaweka 'vp'...hiyoo vepee ni namna nyingine ya kulitamka neno 'vipi'...Sasa hufupisha na kuwa ss/sas/ssa..
Hizi 'x' kwenye sentensi huwekwa pale kwenye 's' na baadh ya sehemu nyingine
 
Ckia kuna maraf nlikutanao utoton..haw kunogesha maongez ntamsalim au ku-chat nae kama tulivyokuw wotot
Zen kunawale wa mtaan navyo vivyo hivyo
Pia kuna wale wa ki-school lazma nao niwasiliane nao ki-school
Conclusion: tumabadilik kutokan na mazingira.......zats Y all happen
 
He kumbe hao ni wa Tanzania, mi huwa naacha najua ni wachina…
 
Hiyo tabia kila siku nagombana na wife na imeonekana kubadilika hawezi.
 
Back
Top Bottom