Chai ya naziMkuu, hii ni chai. Uogelee kavu mpaka minazi ipotee? Wewe Zanzibar unaenda kwa miguu bila shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ni kiwango kikubwa cha sumu ndio hubadilika na kuwa ktk nguvu ya umemeHakuna tafiti zinazoonyesha huyo samaki anatumia mechanism gani kuzalisha Volt zote izo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzunguko wa dunia huwezi kukuathiri kwasababu ya kuwa ndani ya maji baharini kinachoathiri ni mawimbi na mtikisiko wa majiKuna kaumbali kadogo ukiwa ndani ya maji unaona minaz au nchi kavu ni mbali na minaz inapotea flan hv, mimi sio muogeleaji lakin it makes sence kwakuwa ukiwa katika sea level ni rahisi kuona effect ya dunia mzunguko ko unajiona uko mbali sana kuriko jinsi watu wa nchi kavu wanavyokuona
Ndo maana we wa nchi kavu kuona base ya zile meli zilizotia nanga ni ngum, maana inakuwa isha hasiriwa na mzunguko wa dunia
Sent from my iPhone using JamiiForums