The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,434
Ni nini hii mkuumaji ya ugoko
Ni nini hii mkuumaji ya ugoko
Huyo pichani sio mkunga. Mkunga Hana umeme ila wanang'ata Kama nyokaHata aseme nini lakini tunajua kuwa Chunusi yupo na huyo samaki yupo pia. Niliwahi kumvua pale Salender bridge na nikamkimbia. Kama sio mzee mmoja aliyekuwepo pale akamuua kwanza nadhani hata ule mshipi ningelimuachia.
Kifo cha chunusi ni kuwa; Lazima akuzamishe kwenye tope jingi na kukukausha kabisa kabisa. Kweli huyo samaki (Mkunga) ni mbaya sana ila hakuzamishi
Zipo nyingibza namna tofauti humuHii ni repost au? Maana hii mada nimeiona juzi.
Kwa hiyo weye unataka kuungana na mleta hoja kuwa chunusi ni samaki?? Leta picha ya chunusi tukuarifu sehemu mbali mbali alipokaa huyo chunusi. Mpaka huko bara bado unaamini ati ni samaki?? Si wangeshavuliwa wengi?? Kwa nini awe mmoja mmoja tu?Huyo pichani sio mkunga. Mkunga Hana umeme ila wanang'ata Kama nyoka
Mbona tunawala kawaida tuWatu wa ziwa ~Tanganyika mukuje hapa maana mimi niliponea kuuawa na samaki umeme sababu afande wa Bulombola jkt alimgundua kabla sijamgusa. Kwa kiingereza ni electric eels. Wanatoa umeme kiboko ila huyu kwenye picha ni mrefu kuliko niliyetaka kumkamata. Ana madoa meupe ila yeye mweusi. Aliua samaki wote tuliovua wajkawa mishkajki baada ya kukaribiana nao. The funny thing is mtego haukutoboka..
Tafuta uzi Kama huu wa Mshana Jr, a.k.a Guru, a.k.a Master, a.k.a Teacher uone alivyoshusha madini.Kwa hiyo weye unataka kuungana na mleta hoja kuwa chunusi ni samaki?? Leta picha ya chunusi tukuarifu sehemu mbali mbali alipokaa huyo chunusi. Mpaka huko bara bado unaamini ati ni samaki?? Si wangeshavuliwa wengi?? Kwa nini awe mmoja mmoja tu?
Tatizo letu ni kujua kwingi. Kwani wewe ungepungukiwani kama ungeushusha hapa huo uzi wa makinikia?
Wenzako wamefanya tafiti na wakakubalika duniani.Uongo! Samaki wenye umeme huku Kigoma tunawaita nyika.. wanavuliwa sana na tunawala Kama kawa. Ila huyo Chunusi ni majini ya majini..Nishashuhudia watu wengi wanakufa ajili ya chunusi kwenye bwawa tulilokua tunaogelea enzi za utoto.
Tena anaweza kukukausha Damu Wirelessly na ukafa.